Tamko la Rais Gamal Abd El Nasser kwa wajumbe wa magazeti na mashirika ya habari kuhusu mazungumzo na Waingereza mnamo 1953

Tamko la Rais Gamal Abd El Nasser kwa wajumbe wa magazeti na mashirika ya habari kuhusu mazungumzo na Waingereza mnamo 1953

Tumetangaza malengo yetu wazi kwa raia, Na tulikusudia tulichosema, Na tuliainisha malengo hayo tangu kikao cha kwanza kwa upande wa Uingereza,Na vikao vilifufuliza bila ya kubadilisha msimamo wetu -ambao hatuna njia yoyote kurudi nyuma- na hatukukubali kuanza maelezo yoyote bila ya kukubaliana misingi mikuu; kwa hivyo hamna haja kamwe ya  kuingia katika tume na maelezo, na mwishoni tunajikuta bila lengo moja lililokubaliwa.

Tunapendelea kutopoteza wakati, Tunahifadhi wakati wetu kwani tuko makini zaidi na wakati wetu ; kwa hivyo hatukuacha mambo kupoteza bure, na turudishe kile kilichotokea katika mazungumzo yaliyopita ambayo baadhi yake yaliendelea kwa mwaka mmoja  na nusu, basi tulitakia upande wa Uingereza - Baada ya kushindwa mahojiano - kubainisha msimamo wake kwa misingi mikuu inayohakikisha haki za kawaida na udhibiti wa Raia wa Misri kwa ardhi zao, nami nadhani  kuwa upande wa Uingereza umedhakuta kuwa unapaswa kurudia kwa serikali yake kabla ya kuendelea katika mazungumzo.