Mkutano kati ya Vijana wa Udhamini wa Nasser na Wahitimu wa Shule ya Kiafrika
Vijana wa shule ya Kiafrika 2063 , na wahitimu wa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kiafrika wanakutana pamoja katika warsha ya kazi inayohusu Umoja wa Afrika.
Warsha ya pamoja imeandaliwa na imehudhuriwa na Wahitimu wa kundi la kwanza toka shule ya kiafrika 2063 na Udhamini wa Nasser kwa Uongozi, na hayo kwa ajili ya kuwajulisha sera ya shughuli za Umoja wa Afrika na baadhi ya harakati zake, na hayo ili kuonesha mpango wao na matarajio yao kwa Ushirikiano wa Kamishna ya Umoja wa Afrika, haswa sekta ya Vijana.