Mshiriki wa Udhamini wa Nasser, alikutana na Msemaji rasmi kwa jina la serikali ya Jamhuri ya Congo

Mshiriki wa Udhamini wa Nasser, alikutana na Msemaji rasmi kwa jina la serikali ya Jamhuri ya Congo

Mnamo siku ya Ijumaa , siku mwafaka 5 mwezi wa Julai mwaka wa 2019, Bwana Jan Krist Bondongo Bukaka " mshiriki wa Udhamini wa Nasser"alikutana na Msemaji rasmi kwa jina la serikali ya Jamhuri ya Congo , " Bwana Tery Lezin Mungala". wakati wa Mkutano wao: walizungumzia Udhamini wa Nasser kwa Uongozi unaozingatia nafasi inayofungua milango mbele ya vijana wa Congo, akijua kwamba Bwana Jan Krist alipata heshima ya kuchaguliwa ili kushirikiana katika Programu ya Udhamini na kuiwakilisha nchi yake Congo. pia walizungumzia umuhimu wa kuhamisha picha nzuri ya nchi , na kueneza habari njema zinazohusu nchi, ili kuutambua Ulimwengu kwamba Congo si nchi inayohamisisha shughuli za Mauaji.